JWTZ wapokea ndege ya kijeshi kutoka Falme za Kiarabu (UAE)
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Stergomena Lawrence Tax leo amepokea ndege ya kijeshi kutoka Jeshi la Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika kuimarisha ushirikiano baina…
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Stergomena Lawrence Tax leo amepokea ndege ya kijeshi kutoka Jeshi la Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika kuimarisha ushirikiano baina…
Klabu ya Yanga Sc imemtangaza Miloud Hamdi ambaye alikuwa Singida Black Stars mwenye uraia wa Algeria na Ufaransa kuwa kocha wake mpya akichukua mikoba ya Sead Ramovic ambaye anaondoka klabuni…
Jumuiya ya Maendeleo ya Afrika Kusini (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zitafanya mkutano wa pamoja siku ya Ijumaa na Jumamosi juu ya mzozo katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya…
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa leo Jumatatu ameapa kuendelea kutoa msaada kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo licha ya wito wa nchi nzima wa kuondoa wanajeshi wake Congo kufuatia…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya…
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhakikisha inaendelea kuzingatia maslahi ya nchi kwenye mikataba mbalimbali ambayo nchi inakusudia kuingia kwakuwa Kikatiba Ofisi ya Mwanasheria Mkuu…
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema ni azma ya Serikali kuhakikisha wananchi wanapata umeme wa uhakika na unaotabirika kwa ajili ya shughuli za kijamii na kimaendeleo. Kapinga ameyasema hayo leo…
WANAJESHI wawili wa Jeshi la linzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wanaoshiriki shughuli za Ulinzi wa Amani chini ya Mwamvuli wa Umoja wa Mataifa na Jumuiya za Kikanda ikiwemo Jumuiya…
SERIKALI kupitia Ofsi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana Ajra na Wenye Ulemavu Ofisi imetangaza ufadhili wa ada ya mafunzo kwa asilimia 100 kwa vijana wa Kitanzania wenye umri kati ya…
Na Mwandishi Wetu, Arusha NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tamisemi anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Mativila ameagiza wakandarasi wanaojenga barabara za Engosheraton, Olasiti na Oljoro patakapojengwa stendi mpya ya mabasi…