Air Tanzania kutua Ghana, Nigeria mara tatu kwa wiki
Siku ya leo, 28 Januari 2026, shirika la ndege la Air Tanzania limezindua rasmi safari mpya za moja kwa moja kwenda Accra, Ghana, kupitia Lagos, Nigeria. Safari hizi zitakuwa zikifanyika…
Siku ya leo, 28 Januari 2026, shirika la ndege la Air Tanzania limezindua rasmi safari mpya za moja kwa moja kwenda Accra, Ghana, kupitia Lagos, Nigeria. Safari hizi zitakuwa zikifanyika…
Madaktari katika hospitali ya Alert huko Addis Ababa wamefanikiwa kurudisha uume uliokatwa wa kijana mmoja baada ya upasuaji wa saa saba. Dkt. Abdurrezak Ali, mkuu wa Idara ya Upasuaji na…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa ya…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, amewasilisha wito rasmi kwa Tanzania kufungua ubalozi wake Vatican, hatua itakayodumisha na kuimarisha mahusiano kati ya pande hizo mbili. Wito wa Papa…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Serikali imesema haina haja ya kuweka sharti la kisheria linalowalazimisha watoto kuwahudumia wazazi wao wasiojiweza, ikieleza kuwa suala hilo tayari linashughulikiwa kupitia misingi ya kifamilia na…
NA MWANDISHI WETU BENKI ya NMB imezindua Mpango Mkakati wa Muda wa Kati wa Mwaka 2026 hadi 2030 (Agenda 2030), huku ikitangaza mafanikio yaliyotukuka ya Mpango Mkakati uliopita (MTP 2025),…
Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema amechagua kupanda miti katika siku yake ya kuzaliwa ili kutimiza wajibu wake wa kuitunza na kuhifadhi sayari ya dunia. Sambamba na hilo,…
Na GCU - Magu Leo Jumatatu Januari 26, 2026 Halmashauri ya Wilaya ya Magu imeanza rasmi utekelezaji wa bima ya afya kwa wote ambapo timu ya wataalamu wa mfuko wa…
Na Mwandishi Wetu, Tabora Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kupitia mkandarasi wake, WASCO ISOAF Tanzania Limited umekabidhi miundombinu ya vyoo vya kisasa na madarasa kwa…
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kwa kushirikiana na Wakala wa Huduma za Nishati Vijijini (REA) wamesaini randama ya kusambaza…