Biteko aagiza kituo cha huduma kwa wateja Tanesco kusukwa upya
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza kufumuliwa kwa Kituo cha Huduma kwa Wateja cha Shirika la Umeme Nchini, (TANESCO)…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza kufumuliwa kwa Kituo cha Huduma kwa Wateja cha Shirika la Umeme Nchini, (TANESCO)…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wazazi na walezi nchini wamekumbushwa kuzingatia jukumu la kulea watoto katika ngazi ya familia ili wapate huduma za malezi bora na upendo wa dhati kutoka…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Lake Gas Ltd ambaye atahudumia Mkoa wa Dodoma kwa kuuza kwa bei ya ruzuku…
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew ametembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa maji Chalinze awamu ya tatu na kuridhishwa na utekelezaji wa mradi huo unaonufaisha zaidi ya wakazi…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amemtaka mkandarasi wa kituo Changamani cha mazoezi na kupumzikia wananchi jijini Dodoma kuongeza kasi ili kukamilisha mradi huo kwa wakati.…
WANANCHI wa Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara wameishukuru Serikali kwa kuwapelekea mradi wa ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja ambao utasaidia kufungua uchumi wa wilaya hiyo. Wakizungumza wakati wa…
Na Mwandishi Wetu, Pwani Naibu Waziri wa Maji, Kundo Andrea Mathew ameanza ziara ya kikazi ya siku mbili katika Mkoa wa Pwani yenye lengo la kuangalia njia bora za kuboresha…
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) imeziagiza Bodi za Wadhamini wa Taasisi kuhakikisha zinatimiza wajibu wao kwa mujibu wa sheria ikiwemo kuwakilisha marejesho ya kila…
Na Mwandishi Wetu, Kagera Serikali kupitia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) imeendelea kutoa mafunzo kwa walimu wa sekondari wanaofundisha masomo ya sayansi na hisabati 40,000 ili kuwapatia mbinu,…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefanya ziara katika Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma kukagua maendeleo ya ujenzi majengo ya…