Mil.600 zatengwa kupeleka umeme Kijiji cha Ijinga – Magu
Na Mwandishi Wetu, Mwanza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewahakikishia wananchi wa Kijiji cha Ijinga kilichopo kwenye kisiwani katika kata ya Kahangara Wilayani Magu mkoani…
