Rais Samia ametoa ruzuku asilimia 50 kwa mitungi ya gesi inayosambazwa na REA
Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan ametoa ruzuku ya asilimia 50 ya bei kwa mitungi ya gesi inayosambazwa nchini na Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Hayo yamebainishwa leo Oktoba…
