NMB yafuturisha Z’bar, ikiahidi ‘kulea’ Yatima 106 Mwezi wa Ramadhani
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imekiri kuvutiwa na mchango mkubwa wa Benki ya NMB kwa makundi mbalimbali ya kijamii, ikiwemo kusaidia utatuzi wa changamoto za…