Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article Samia: Nitaleta boti tano za wagonjwa, usalama Kagera

Samia: Nitaleta boti tano za wagonjwa, usalama Kagera

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 16, 2025
  • Post category:Usafiri wa Majini
  • Post comments:0 Comments

Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewaahidi wananchi wa Kagera kupeleka boti tano zitakotumika kuimarisha usalama na kusafirisha wagonjwa. Pia, Samia amefafanua kuwa boti hizo zitatumika…

Continue ReadingSamia: Nitaleta boti tano za wagonjwa, usalama Kagera
Read more about the article Mpina akwaa kisiki kugombea Urais ACT Wazalendo

Mpina akwaa kisiki kugombea Urais ACT Wazalendo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 15, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma imetupilia mbali kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na mwanachama wa ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina pamoja na ACT- Wazalendo kupinga kuondolewa kwenye orodha ya wagombea Urais…

Continue ReadingMpina akwaa kisiki kugombea Urais ACT Wazalendo
Read more about the article Samia aungana na viongozi Afrika kumuomboleza Odinga

Samia aungana na viongozi Afrika kumuomboleza Odinga

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 15, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Salamu za rambirambi zinatoka sehemu tofauti ya bara la Afrika baada ya kifo cha aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga. Odinga ameaga dunia nchini India leo Jumatano, ambapo alikuwa…

Continue ReadingSamia aungana na viongozi Afrika kumuomboleza Odinga
Read more about the article NMB yawanoa wananchi, vikundi vya kijamii Kimanzichana

NMB yawanoa wananchi, vikundi vya kijamii Kimanzichana

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 15, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Pwani PROGRAMU Endelevu ya usambazaji wa Elimu ya Fedha, Huduma Jumuishi za Kibenki, Utunzaji Mazingira na Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa wananchi vijijini ‘NMB Kijiji…

Continue ReadingNMB yawanoa wananchi, vikundi vya kijamii Kimanzichana
Read more about the article Mshtuko wa moyo wakatisha maisha ya Raila Odinga

Mshtuko wa moyo wakatisha maisha ya Raila Odinga

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 15, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Mwanasiasa maarufu wa Kenya, Raila Odinga, Waziri Mkuu wa zamani, amefariki dunia leo Jumatano, Oktoba 15, 2025, katika hospitali ya Sreedhareeyam Ayurvedic Eye Hospital & Research Centre, Koothattukulam, Kerala, India,…

Continue ReadingMshtuko wa moyo wakatisha maisha ya Raila Odinga
Read more about the article Jeshi kutawala Madagascar kwa miaka miwili kabla ya uchaguzi

Jeshi kutawala Madagascar kwa miaka miwili kabla ya uchaguzi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 15, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Jeshi la Madagascar limechukua madaraka kutoka kwa serikali ya kiraia baada ya Rais Andry Rajoelina kukimbia nchi, hatua iliyotangazwa na kamanda wa juu wa jeshi Kanali Michael Randrianirina mjini Antananarivo.…

Continue ReadingJeshi kutawala Madagascar kwa miaka miwili kabla ya uchaguzi
Read more about the article NMB yafadhili ziara ya kibiashara kwa wajasiriamali 28 China

NMB yafadhili ziara ya kibiashara kwa wajasiriamali 28 China

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 15, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam Benki ya NMB imefadhili ziara ya kibiashara ya wafanyabiashara 28, ambayo inalenga kuwapa uzoefu wa moja kwa moja wa masoko ya China na kuwaonesha…

Continue ReadingNMB yafadhili ziara ya kibiashara kwa wajasiriamali 28 China
Read more about the article TEC yabariki uchaguzi, yakemea utekaji

TEC yabariki uchaguzi, yakemea utekaji

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 14, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limebariki Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, huku likikemea matukio ya utekaji na kupotea kwa watu. Katika msisitizo wake kuhusu uchaguzi, TEC imewataka wananchi kuongozwa…

Continue ReadingTEC yabariki uchaguzi, yakemea utekaji
Read more about the article Wenje ataja sababu kuhamia CCM

Wenje ataja sababu kuhamia CCM

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 13, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ametangaza kukihama chama hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Uamuzi wa Wenje, unakuja katikati ya nyakati…

Continue ReadingWenje ataja sababu kuhamia CCM
Read more about the article DC Msando mtaa kwa mtaa kukagua huduma za maji

DC Msando mtaa kwa mtaa kukagua huduma za maji

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 13, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando amefanya ziara ya kukagua hali ya maji katika wilaya hiyo sambamba na kukagua utekelezaji wa mradi wa maji…

Continue ReadingDC Msando mtaa kwa mtaa kukagua huduma za maji
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • …
  • 111
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu