Dk. Mpango aifariji familia ya marehemu Nkondo
Makamu Dk. Philip Mpango na mwenza wake Mama Mbonimapaye Mpango wameifariji familia na waombolezaji mbalimbali kufuatia kifo cha Johnson Nkondo aliyekuwa Msaidizi wa Ofisi Mkuu - Ofisi ya Makamu wa…
Makamu Dk. Philip Mpango na mwenza wake Mama Mbonimapaye Mpango wameifariji familia na waombolezaji mbalimbali kufuatia kifo cha Johnson Nkondo aliyekuwa Msaidizi wa Ofisi Mkuu - Ofisi ya Makamu wa…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Maonyesho ya siku tatu yaliyoandaliwa na kampuni ya Al Mansour Auto EA Tanzania, kuangazia teknolojia za kisasa za usafiri na muktadha mzuri wa magari ya ISUZU,…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wakulima wa Tanzania wanaozalisha mazao ya chakula na kuyauza kwa Wakala wa Taifa wa Uhifadhi wa Chakula Nchini (NFRA) wamelipwa bilioni 347 katika miezi minane iliyopita kuanzia mwezi…
Na Mwandishi Wetu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeibuka mshindi wa tatu katika kundi la taasisi za umma zinazozingatia na kufuata miongozo na kanuni za Mamlaka ya Serikali…
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga ameshindwa kwenye kinyang’anyiro cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC). Katika uchaguzi uliokuwa na ushindani mkali uliofanyika leo Jumamosi, Februari…
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt.Hussein Ali Mwinyi amezisisitiza Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi kuwahamasisha Wanachama na Wananchi kujiandikisha na kujitokeza kwa Wingi kupiga Kura ili CCM ishinde kwa Kishindo.…
Na Mwandishi Wetu, Tanga Mbunge wa Tanga Mjini, Ummy Mwalimu (CCM) ametoa rai kwa wananchi wa jimbo hilo kujitoleza kwa wingi katika zoezi la kitaifa la uboreshaji wa daftari la…
Serikali ya Tanzania imesema haijaingia makubaliano na mwekezaji yeyote kwa sasa kwa ajili ya kujenga na kuendesha Bandari ya Bagamoyo. Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango…
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwake kwa kuahidi kuendelea kuwekeza katika uvumbuzi wa kidijitali na kuongeza ubora wa huduma kwa wateja wake kwa kudhamiria kuimarisha…
Meneja wa Precision Air nchini Comoro, Mohamed Rajab Juma ameeleza kuwa safari za Shirika hilo nchini Comoro katika mji wa Moroni, zinashika nafasi ya pili kwa faida kati ya safari…