WorldVeg, AID-I watoa mafunzo kwa wakulima 62,000
Na Mwandishi Wetu, Arusha Zaidi ya wakulima 62,000 wadogo wadogo nchini wamenufaika na mafunzo ya kilimo cha mbogamboga na matunda yaliyotolewa na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti na Uendelezaji wa…
Na Mwandishi Wetu, Arusha Zaidi ya wakulima 62,000 wadogo wadogo nchini wamenufaika na mafunzo ya kilimo cha mbogamboga na matunda yaliyotolewa na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti na Uendelezaji wa…
Na Mwandishi Wetu, MBEYA BENKI ya NMB, imeikabidhi ofisi ya Mkoa wa Mbeya hundi ya Sh. Milioni 30 kwa ajili ya udhamini wa maadhimisho ya wiki ya vijana kitaifa na…
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la wavuvi la kulitumia lililokuwa jengo la abiria katika eneo la Kigongo, mkoani Mwanza, kuwa soko la…
Na Mwandishi Wetu Benki ya NMB leo Junatatu imezindua rasmi maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja, huku ikiahidi kuboresha zaidi huduma zake na kusisitiza dhamira yake ya kuendelea kuwa…
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema ni muhimu wananchi wa Hanang, mkoani Manyara, wakaitumia stendi yam abasi iliyojengwa kujinufaisha kiuchumi. Dkt Samia ameeleza hayo,…
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake ipo katika majadiliano na Taifa la India na wazalishaji wengine wa mbaazi, kuhakikisha bei ya zao…
Maandamano mapya ya kudai mageuzi katika sekta za afya na elimu yamefanyika nchini Morocco kwa siku ya sita mfululizo, kufuatia vifo vya watu watatu vilivyotokea wakati wa makabiliano yaliyotokea jana…
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake inatarajia kujenga soko kubwa la machinga na kukamilisha soko la kisasa la wafanyabiashara katika eneo la…
Mkoa wa Arusha ni miongoni mwa maeneo yatakayonufaika na Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR), utakaotekelezwa katika kipindi cha miaka mitano ijayo chini ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu Hassan.…
SIKU moja baada ya vituo na mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Saalam (Mwendokasi) kushambuliwa kwa mawe na wananchi, Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi wanaosimamia mradi huo. Viongozi…