Bilionea na kiongozi wa kiroho Aga Khan afariki dunia
Bilionea na kiongozi wa kiroho Aga Khan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88, limetangaza shirika lake la hisani la Aga Khan Development Network. Prince Karim Aga Khan alikuwa…
Bilionea na kiongozi wa kiroho Aga Khan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88, limetangaza shirika lake la hisani la Aga Khan Development Network. Prince Karim Aga Khan alikuwa…
NA MWANDISHI WETU, PEMBA SERIKALI ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, imewataka Wananchi na Vikundi vya Kijamii na Ushirika Wilaya ya Wete, kuitumia vema Elimu ya Fedha na Huduma Jumuishi za…
WAKATI Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) likijinasibu kupata mafanikio katika huduma zake Kamati ya Bunge ya Miundombinu imesema matatizo ya kiusanifu ya injini za ndege aina ya Airbus A220-300 ambazo…
Waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda wametangaza usitishaji wa mapigano kuanzia leo Jumanne huko mashariki mwa Kongo kwa sababu za kibinadamu. Haya yanafuatia miito ya njia salama ya…
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa hadi kufikia Januari, 2025, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imekamilisha upelekaji wa umeme kwenye vijiji vyote 12,318 nchini na kwamba…
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Stergomena Lawrence Tax leo amepokea ndege ya kijeshi kutoka Jeshi la Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika kuimarisha ushirikiano baina…
Klabu ya Yanga Sc imemtangaza Miloud Hamdi ambaye alikuwa Singida Black Stars mwenye uraia wa Algeria na Ufaransa kuwa kocha wake mpya akichukua mikoba ya Sead Ramovic ambaye anaondoka klabuni…
Jumuiya ya Maendeleo ya Afrika Kusini (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zitafanya mkutano wa pamoja siku ya Ijumaa na Jumamosi juu ya mzozo katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya…
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa leo Jumatatu ameapa kuendelea kutoa msaada kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo licha ya wito wa nchi nzima wa kuondoa wanajeshi wake Congo kufuatia…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya…