Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article Umeme wakatika tena Cuba nzima

Umeme wakatika tena Cuba nzima

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 11, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Kwa mara nyengine, Cuba imekosa umeme nchi nzima kutokana na uchakavu wa miundombinu na uhaba wa mafuta kwenye mitambo ya nishati katika taifa hilo la Karibiki. Tukio hilo la jana…

Continue ReadingUmeme wakatika tena Cuba nzima
Read more about the article Ethiopia yazindua bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme Afrika

Ethiopia yazindua bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme Afrika

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 11, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Ethiopia imezindua rasmi Bwawa la Grand Ethiopian Renaissance (GERD), mradi mkubwa zaidi wa kuzalisha umeme barani Afrika. Sherehe ya uzinduzi ilifanyika juzi Jumanne karibu na bwawa hilo katika eneo la…

Continue ReadingEthiopia yazindua bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme Afrika
Read more about the article NMB yakabidhi jezi za milioni 36 kwa SHIMIWI

NMB yakabidhi jezi za milioni 36 kwa SHIMIWI

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 11, 2025
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani
  • Post comments:0 Comments

Benki ya NMB imekabidhi jezi zenye thamani ya Shilingi milioni 36 kwa Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (Shimiwi), ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za…

Continue ReadingNMB yakabidhi jezi za milioni 36 kwa SHIMIWI
Read more about the article Samia: Endeleeni kutuamini

Samia: Endeleeni kutuamini

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 10, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

MGOMBEA Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasihi wananchi waendelee kumwamini kwa kumpa kura nyingi za ndiyo kutokana na mafanikio yaliyopatikana katika awamu yake ya kwanza…

Continue ReadingSamia: Endeleeni kutuamini
Read more about the article Ndege za kitanzania zinazoruka kwa mafuta ya bodaboda

Ndege za kitanzania zinazoruka kwa mafuta ya bodaboda

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 10, 2025
  • Post category:Usafiri wa Anga
  • Post comments:0 Comments

Katika uwanja mdogo wa ndege wa Mazimbu, Morogoro, nilijikuta nikishuhudia jambo ambalo kwa wengi lingesikika kama hadithi tu. Hapa, kundi la vijana 13 wa Kitanzania wanapiga hatua kubwa kwa kutengeneza…

Continue ReadingNdege za kitanzania zinazoruka kwa mafuta ya bodaboda
Read more about the article Samia: Wakulima wa mbaazi, choroko bei nzuri inakuja

Samia: Wakulima wa mbaazi, choroko bei nzuri inakuja

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 10, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan, amewaomba wakulima wa mbaazi, choroko na dengu kuwa wavumilivu kuhusu mauzo ya zao hilo, akiwaahidi bei nzuri inakuja. Dkt…

Continue ReadingSamia: Wakulima wa mbaazi, choroko bei nzuri inakuja
Read more about the article Simba SC. yaitafuna kibabe Gor Mahia

Simba SC. yaitafuna kibabe Gor Mahia

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 10, 2025
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani
  • Post comments:0 Comments

Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam,…

Continue ReadingSimba SC. yaitafuna kibabe Gor Mahia
Read more about the article Dk. Bashiru aanika mazito utendaji wa Samia

Dk. Bashiru aanika mazito utendaji wa Samia

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 9, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Bashiru Ally amemtaja Mgombea urais wa chama hicho, Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa kiongozi mwenye utulivu, ujasiri na umakini wa pekee.…

Continue ReadingDk. Bashiru aanika mazito utendaji wa Samia
Read more about the article Mpango wa usafirishaji umeme kutoka Tanzania hadi Uganda waiva

Mpango wa usafirishaji umeme kutoka Tanzania hadi Uganda waiva

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 9, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amekutana na Wataalam kutoka Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) ili  kujadili hali ya utekelezaji wa miradi ya Nishati inayofadhiliwa na shirika…

Continue ReadingMpango wa usafirishaji umeme kutoka Tanzania hadi Uganda waiva
Read more about the article Bilioni 51 kutumika ujenzi wa barabara, masoko na stendi jijini Arusha

Bilioni 51 kutumika ujenzi wa barabara, masoko na stendi jijini Arusha

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 8, 2025
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Arusha Mradi wa Uendelezaji wa Miji na Majiji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya shilingi bilioni 51 katika Jiji la Arusha ikiwa ni sehemu ya uendelezaji…

Continue ReadingBilioni 51 kutumika ujenzi wa barabara, masoko na stendi jijini Arusha
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
  • 30
  • 31
  • 32
  • …
  • 111
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu