Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article Waziri Mkuu: Rais Samia ameiheshimisha Tanzania matumizi nishati safi ya kupikia

Waziri Mkuu: Rais Samia ameiheshimisha Tanzania matumizi nishati safi ya kupikia

  • Post author:Gabriel
  • Post published:August 30, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa ameeleza kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameipa heshima nchi kwa kuhamasisha matumizi ya…

Continue ReadingWaziri Mkuu: Rais Samia ameiheshimisha Tanzania matumizi nishati safi ya kupikia
Read more about the article Bilioni 32.7 yawezesha vijiji 519 kupata umeme Kilimanjaro

Bilioni 32.7 yawezesha vijiji 519 kupata umeme Kilimanjaro

  • Post author:Gabriel
  • Post published:August 29, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, ameeleza kuwa jumla ya vitongoji 1,997 sawa na asilimia 88.4 kati ya vitongoji…

Continue ReadingBilioni 32.7 yawezesha vijiji 519 kupata umeme Kilimanjaro
Read more about the article NMB yakabidhi bilioni 1.9 kwa vikundi vya wanawake, vijana na wenye ulemavu Dodoma

NMB yakabidhi bilioni 1.9 kwa vikundi vya wanawake, vijana na wenye ulemavu Dodoma

  • Post author:Gabriel
  • Post published:August 29, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Benki ya NMB imekabidhi hundi ya zaidi ya shilingi bilioni 1.9 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule kwa ajili ya mikopo ya vikundi vya…

Continue ReadingNMB yakabidhi bilioni 1.9 kwa vikundi vya wanawake, vijana na wenye ulemavu Dodoma
Read more about the article Samia: Nitajenga barabara Ubena- Bigwa, Kisaki- Ngerengere

Samia: Nitajenga barabara Ubena- Bigwa, Kisaki- Ngerengere

  • Post author:Gabriel
  • Post published:August 29, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Mgombea Urais wa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wananchi wa Morogoro kuwa barabara za Bigwa, Mvua - Kisaki zitakwenda kujengwa kwa kiwango cha…

Continue ReadingSamia: Nitajenga barabara Ubena- Bigwa, Kisaki- Ngerengere
Read more about the article Rais Samia: Mchakato Katiba Mpya kuanza ndani ya siku 100

Rais Samia: Mchakato Katiba Mpya kuanza ndani ya siku 100

  • Post author:Gabriel
  • Post published:August 28, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan ameahidi kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya ndani ya siku 100 pindi Watanzania watakapompa ridhaa Oktoba…

Continue ReadingRais Samia: Mchakato Katiba Mpya kuanza ndani ya siku 100
Read more about the article Rais Samia wa kwanza kurudisha fomu INEC

Rais Samia wa kwanza kurudisha fomu INEC

  • Post author:Gabriel
  • Post published:August 27, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amewatangulia wagombea urais wa vyama vingine kurudisha fomu ya uteuzi katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndejengwa jijini Dodoma leo, Jumatano…

Continue ReadingRais Samia wa kwanza kurudisha fomu INEC
Read more about the article Mwenge wa uhuru wapokewa Magu, wazindua miradi ya bil. 2

Mwenge wa uhuru wapokewa Magu, wazindua miradi ya bil. 2

  • Post author:Gabriel
  • Post published:August 27, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

MWENGE wa Uhuru umepokewa leo tarehe 27 Agosti, 2025 wilayani Magu kutokea wilayani Ilemela na unatarajiwa kupitia miradi nane yenye thamani ya Sh bilioni 2. Akipokea Mwenge huo katika hafla…

Continue ReadingMwenge wa uhuru wapokewa Magu, wazindua miradi ya bil. 2
Read more about the article Ahadi ya Serikali kufikisha umeme wa Gridi Kagera yatekelezwa

Ahadi ya Serikali kufikisha umeme wa Gridi Kagera yatekelezwa

  • Post author:Gabriel
  • Post published:August 25, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Ahadi ya Serikali ya kufikisha umeme wa gridi ya taifa katika Wilaya zote za Mkoa wa Kagera imetekelezwa baada ya Serikali kusaini mikataba ya ujenzi wa…

Continue ReadingAhadi ya Serikali kufikisha umeme wa Gridi Kagera yatekelezwa
Read more about the article NMB yadhamini, yashiriki kikao cha wenyeviti wa bodi za taasisi …

NMB yadhamini, yashiriki kikao cha wenyeviti wa bodi za taasisi …

  • Post author:Gabriel
  • Post published:August 25, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Benki ya NMB imedhamini na kushiriki kwenye Kikao kazi cha wenyeviti wa Bodi na watendaji wakuu wa taasisi za umma (CEOs Forum 2025) kinachoendelea katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano…

Continue ReadingNMB yadhamini, yashiriki kikao cha wenyeviti wa bodi za taasisi …
Read more about the article DED Magu agawa baiskeli 66 kwa WAVIU, awataka kulinda afya zao

DED Magu agawa baiskeli 66 kwa WAVIU, awataka kulinda afya zao

  • Post author:Gabriel
  • Post published:August 25, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wikaya ya Magu mkoani Mwanza, Mohamed Ramadhani ametoa wito kwa Watu wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi (WAVIU) wilayani humo kutambua kuwa mtaji namba moja kwa…

Continue ReadingDED Magu agawa baiskeli 66 kwa WAVIU, awataka kulinda afya zao
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 29
  • 30
  • 31
  • 32
  • 33
  • 34
  • 35
  • …
  • 111
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu