Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article Gwajima apongeza ujenzi wa miradi ya elimu Kaliua – Tabora

Gwajima apongeza ujenzi wa miradi ya elimu Kaliua – Tabora

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 10, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Tabora Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima ameipongeza Serikali ya mkoa wa Tabora kwa hatua nzuri katika utekelezaji wa miradi…

Continue ReadingGwajima apongeza ujenzi wa miradi ya elimu Kaliua – Tabora
Read more about the article Waziri Kabudi apokea taarifa ya vazi la Taifa

Waziri Kabudi apokea taarifa ya vazi la Taifa

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 10, 2025
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani
  • Post comments:0 Comments

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amepokea taarifa maalumu ya mapendekezo ya aina ya michoro ya vazi la Taifa kutoka kwa kamati iliyoundwa kwa ajili ya…

Continue ReadingWaziri Kabudi apokea taarifa ya vazi la Taifa
Read more about the article Mashauriano ya kisiasa ya tatu kati ya Tanzania na Norway yafanyika

Mashauriano ya kisiasa ya tatu kati ya Tanzania na Norway yafanyika

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 10, 2025
  • Post category:Uncategorized
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mashauriano ya Kisiasa ya Tatu Kati ya Tanzania na Norway yamefanyika jijini Dar es Salaam tarehe 9 Januari,2025 ambapo nchi hizo zimethibitisha dhamira ya…

Continue ReadingMashauriano ya kisiasa ya tatu kati ya Tanzania na Norway yafanyika
Read more about the article Biteko aagiza kituo cha huduma kwa wateja Tanesco kusukwa upya

Biteko aagiza kituo cha huduma kwa wateja Tanesco kusukwa upya

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 10, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza kufumuliwa kwa Kituo cha Huduma kwa Wateja cha Shirika la Umeme Nchini, (TANESCO)…

Continue ReadingBiteko aagiza kituo cha huduma kwa wateja Tanesco kusukwa upya
Read more about the article LALJI FOUNDATION yagawa vifaa vya shule kwa vituo tisa vya watoto yatima Dar

LALJI FOUNDATION yagawa vifaa vya shule kwa vituo tisa vya watoto yatima Dar

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 9, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wazazi na walezi nchini wamekumbushwa kuzingatia jukumu la kulea watoto katika ngazi ya familia ili wapate huduma za malezi bora  na upendo wa dhati kutoka…

Continue ReadingLALJI FOUNDATION yagawa vifaa vya shule kwa vituo tisa vya watoto yatima Dar
Read more about the article Serikali yatoa milioni 400 kusambaza mitungi ya gesi kwa ruzuku Dodoma
Screenshot

Serikali yatoa milioni 400 kusambaza mitungi ya gesi kwa ruzuku Dodoma

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 8, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Lake Gas Ltd ambaye atahudumia Mkoa wa Dodoma kwa kuuza kwa bei ya ruzuku…

Continue ReadingSerikali yatoa milioni 400 kusambaza mitungi ya gesi kwa ruzuku Dodoma
Read more about the article Mradi wa maji Chalinze wamkosha Naibu Waziri, atoa maagizo

Mradi wa maji Chalinze wamkosha Naibu Waziri, atoa maagizo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 8, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew ametembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa maji Chalinze awamu ya tatu na kuridhishwa na utekelezaji wa mradi huo unaonufaisha zaidi ya wakazi…

Continue ReadingMradi wa maji Chalinze wamkosha Naibu Waziri, atoa maagizo
Read more about the article Kabudi amtaka mkandarasi  Changamani kuongeza kasi

Kabudi amtaka mkandarasi  Changamani kuongeza kasi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 8, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amemtaka mkandarasi wa kituo Changamani cha mazoezi na kupumzikia wananchi jijini Dodoma kuongeza kasi ili kukamilisha mradi huo kwa wakati.…

Continue ReadingKabudi amtaka mkandarasi  Changamani kuongeza kasi
Read more about the article Wananchi Kiteto waishukuru Serikali ujenzi wa miundombinu ya barabara

Wananchi Kiteto waishukuru Serikali ujenzi wa miundombinu ya barabara

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 7, 2025
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu
  • Post comments:0 Comments

WANANCHI wa Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara wameishukuru Serikali kwa kuwapelekea mradi wa ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja ambao utasaidia kufungua uchumi wa wilaya hiyo. Wakizungumza wakati wa…

Continue ReadingWananchi Kiteto waishukuru Serikali ujenzi wa miundombinu ya barabara
Read more about the article Kundo aongoza kikao kazi na watumishi sekta ya maji Pwani

Kundo aongoza kikao kazi na watumishi sekta ya maji Pwani

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 7, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Pwani Naibu Waziri wa Maji, Kundo Andrea Mathew ameanza ziara ya kikazi ya siku mbili katika Mkoa wa Pwani yenye lengo la kuangalia njia bora za kuboresha…

Continue ReadingKundo aongoza kikao kazi na watumishi sekta ya maji Pwani
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 32
  • 33
  • 34
  • 35
  • 36
  • 37
  • 38
  • …
  • 60
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2025: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu