TPA kuwapunguzia kodi ya uhifadhi mizigo wahanga janga la ghorofa Kariakoo
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imesema itawapunguzia gharama za uhifadhi (storage fee) mizigo wahanga wa jengo la ghorofa liloporomoka katika soko Kariakoo, Jijini Dar es Salaam tarehe…