NMB kuchangia bil. 1/- gharama za matibabu ya watoto JKCI
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam BENKI ya NMB na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), wamesaini makubaliano ya ushirikiano yatakayowezesha benki hiyo kusaidia gharama za matibabu ya watoto…