Ufanisi Bandari Dar waileta kampuni ya ‘Volkswagen’ nchini
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KAMPUNI ya kutengeneza magari ya Volkswagen ya Ujerumani imeonesha nia ya kuitumia Bandari ya Dar es Salaam kusafirisha magari na vipuri baada ya kuitembelea…