Tanzania, Misri kukuza ushirikiano katika biashara na uwekezaji
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio Nje wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri,…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio Nje wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri,…
JUMLA ya leseni 1356 zimetolewa katika halmashauri tatu za Mkoa wa Kimadini Kahama ambazo ni Ushetu, Msalala na Kahama huku wazawa na wawekezaji kutoka nje wakitakiwa kuchangamkia fursa zilizopo mkoani…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Moja ya matukio makubwa nchini wakati jua linazama Jumatano wiki hii ilikuwa ni futari ya kukata na shoka iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya…
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezindua taarifa ya Utendaji wa Mamlaka za maji kwa mwaka 2023/24 na kuzitaka kupunguza kiwango cha upotevu maji ili kuepusha…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeeleza kuridhishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) ambao umechochea uboreshaji wa…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amewasilisha Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo amewataka watendaji na watumishi wa Wizara ya Madini kuzingatia uadilifu katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku…
Na Mwandishi wetu, London Baada ya kukamilika kwa kampeni ya kuitangaza Tanzania kupita msafara wa utangazaji utalii ya "My Tanzania Roadshow 2025" katika nchi za Ujerumani, Ubelgiji, Uholanzi na Uingereza,…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani itakayoenda sambamba na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa itakayofanyika Machi 21, 2025…
Na Mwandishi Wetu Benki ya NMB imeshiriki na kudhamini Jukwaa la Kujadili Masuala ya Maji lililofanyika jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Maji yanayoendelea…