Waziri Kabudi aridhishwa na kasi ya ujenzi wa uwanja wa AFCON ARUSHA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi ameeleza kuridhishwa na hatua zilizofikiwa kwenye mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu jijini Arusha. Uwanja huo…
