Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article Trump azidi kung’ata, mamia wafutwa kazi usafiri wa nga

Trump azidi kung’ata, mamia wafutwa kazi usafiri wa nga

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 18, 2025
  • Post category:Usafiri wa Anga
  • Post comments:0 Comments

 Utawala wa Trump umeanza kufuta kazi mamia ya wafanyakazi wa idara ya usafiri wa anga na kusababisha hali ya taharuki kuelekea kwa wikiendi yenye shughuli nyingi za usafiri huo nchini…

Continue ReadingTrump azidi kung’ata, mamia wafutwa kazi usafiri wa nga
Read more about the article Trump akata rufaa dhidi ya mfanyakazi aliyemburuza mahakamani

Trump akata rufaa dhidi ya mfanyakazi aliyemburuza mahakamani

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 18, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Rais Donald Trump amepeleka ombi la dharura katika Mahakama ya Juu ya Marekani ili iamue ikiwa ana mamlaka ya kumfukuza kazi mmoja wa viongozi waandamizi serikalini. Hampton Dellinger, mtendaji Mkuu…

Continue ReadingTrump akata rufaa dhidi ya mfanyakazi aliyemburuza mahakamani
Read more about the article Rais Dk. Mwinyi: Vijana msibaki nyuma katika upigaji kura

Rais Dk. Mwinyi: Vijana msibaki nyuma katika upigaji kura

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 18, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kuendeleza kasi ya…

Continue ReadingRais Dk. Mwinyi: Vijana msibaki nyuma katika upigaji kura
Read more about the article Watumishi ubalozi wa Tz – Comoro watembelea bandari ya Moroni

Watumishi ubalozi wa Tz – Comoro watembelea bandari ya Moroni

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 18, 2025
  • Post category:Usafiri wa Majini
  • Post comments:0 Comments

Watumishi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro wametembelea Bandari ya Moroni kujione shughuli zinazofanywa hapo hususan katika kushughulikia shehena za mizigo kutoka Tanzania. Wakiongozwa na Balozi wa Tanzania nchini humo,…

Continue ReadingWatumishi ubalozi wa Tz – Comoro watembelea bandari ya Moroni
Read more about the article DAWASA yawafunda wenyeviti wa mitaa usimamizi huduma za Maji

DAWASA yawafunda wenyeviti wa mitaa usimamizi huduma za Maji

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 17, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amezitaka taasisi zinazofanya kazi ndani ya wilaya hiyo kuiga mfano wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ya…

Continue ReadingDAWASA yawafunda wenyeviti wa mitaa usimamizi huduma za Maji
Read more about the article Majaliwa akagua ujenzi uwanja wa ndege Shinyanga, atoa maagizo

Majaliwa akagua ujenzi uwanja wa ndege Shinyanga, atoa maagizo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 17, 2025
  • Post category:Usafiri wa Anga
  • Post comments:0 Comments

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amemtaka mkandarasi wa ujenzi wa uwanja wa ndege wa Shinyanga afanye kazi usiku na mchana ili kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa uwanja huo ikiwemo ufungaji wa taa…

Continue ReadingMajaliwa akagua ujenzi uwanja wa ndege Shinyanga, atoa maagizo
Read more about the article Kwa kikosi hiki, CCM hii unaishindaje?

Kwa kikosi hiki, CCM hii unaishindaje?

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 17, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Dk. Reubeni Lumbagala Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni chama kikongwe nchini ambacho sasa kimetimiza miaka 48 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977. Ukongwe wa chama hiki, si tu katika umri…

Continue ReadingKwa kikosi hiki, CCM hii unaishindaje?
Read more about the article Majaliwa atoa wito uwekezaji wa NMB katika elimu uigwe

Majaliwa atoa wito uwekezaji wa NMB katika elimu uigwe

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 17, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za umma na binafsi kuiga mfano wa Benki ya NMB katika kuwekeza kwenye sekta ya elimu,…

Continue ReadingMajaliwa atoa wito uwekezaji wa NMB katika elimu uigwe
Read more about the article Wanafunzi elimu ya juu wakopa trilioni 8.2

Wanafunzi elimu ya juu wakopa trilioni 8.2

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 17, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetumia shilingi trilioni 8.2 kugharamia wanafunzi tangu ilipoanzishwa. Amesema kuwa pia katika kipindi…

Continue ReadingWanafunzi elimu ya juu wakopa trilioni 8.2
Read more about the article Besigye akimbizwa hospitalini
Kizza Besigye

Besigye akimbizwa hospitalini

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 17, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye ambaye alianza mgomo wa kula wiki iliyopita amekimbizwa hospitali jana jioni baada ya hali ya afya kuzorota. Hayo yameelezwa na mbunge mmoja mwenye…

Continue ReadingBesigye akimbizwa hospitalini
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 68
  • 69
  • 70
  • 71
  • 72
  • 73
  • 74
  • …
  • 111
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu