Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article TPA yapeleka wafanyakazi 23 kuongeza ujuzi  nchini Misri

TPA yapeleka wafanyakazi 23 kuongeza ujuzi  nchini Misri

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 2, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Chuo cha  Arab Academy for Science Technology and Maritime Transport (AASTMT) cha nchini Misri zimesaini randama ya…

Continue ReadingTPA yapeleka wafanyakazi 23 kuongeza ujuzi  nchini Misri
Read more about the article TAMISA inavyochagiza utoaji huduma katika sekta ya madini nchini

TAMISA inavyochagiza utoaji huduma katika sekta ya madini nchini

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 1, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

NA FLORID MAPUNDA, Dar es Salaam Ni dhahiri kuwa kuanzishwa kwa Chama cha watoa huduma na wasambazaji bidhaa migodini (TAMISA) kunasaidia kutoa nafasi kwa Watanzania kushiriki kikamilifu  katika utoaji wa huduma…

Continue ReadingTAMISA inavyochagiza utoaji huduma katika sekta ya madini nchini
Read more about the article Circumference ya Bebe Cool yazidi kupasua anga

Circumference ya Bebe Cool yazidi kupasua anga

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 31, 2025
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani
  • Post comments:0 Comments

NA MWANDISHI WETU MKONGWE katika muziki nchini Uganda, Bebe Cool anazidi kuchanja mbuga na kibao chake 'Circumference' alichoachia hivi karibuni. Singo hiyo ambayo ameirekodi katika mfumo wa video, ni utayarisho…

Continue ReadingCircumference ya Bebe Cool yazidi kupasua anga
Read more about the article Gumzo albamu mpya ya Bruce Melodie  

Gumzo albamu mpya ya Bruce Melodie  

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 30, 2025
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani
  • Post comments:0 Comments

NA MWANDISHI WETU  STAA wa muziki nchini Rwanda, Bruce Melodie ameachia albamu yake mpya iitwayo ‘Colorful Generation’ ambayo ni moto wa kuotea mbali na kuwa gumzo mitandaoni. Katika albamu hiyo…

Continue ReadingGumzo albamu mpya ya Bruce Melodie  
Read more about the article NMB yavunja rekodi ya ufanisi kwa mwaka wa fedha 2024

NMB yavunja rekodi ya ufanisi kwa mwaka wa fedha 2024

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 30, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Mwaka 2024 Benki ya NMB iliendeleza kasi ya ukuaji, ikipata matokeo ya kipekee ya kifedha na kiutendaji, yaliyochochewa na ukuaji imara wa mizania, ufanisi wa uendeshaji, na umakini mkubwa katika…

Continue ReadingNMB yavunja rekodi ya ufanisi kwa mwaka wa fedha 2024
Read more about the article Biteko aongoza waombolezaji kuaga miili ya wanafunzi waliofariki kwa radi Geita

Biteko aongoza waombolezaji kuaga miili ya wanafunzi waliofariki kwa radi Geita

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 30, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Leo Januari 30, 2025 mkoani Geita, maelfu ya waombolezaji wamejitokeza kuaga miili ya wanafunzi saba wa Shule ya Sekondari Businda iliyopo wilayani Bukombe waliofariki kwa kupigwa na radi mnamo tarehe…

Continue ReadingBiteko aongoza waombolezaji kuaga miili ya wanafunzi waliofariki kwa radi Geita
Read more about the article Kapinga: Kuunganisha umeme maeneo ya vijiji ni 27,000 

Kapinga: Kuunganisha umeme maeneo ya vijiji ni 27,000 

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 30, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko  amesema uunganishaji wa umeme kwenye maeneo ya Vijiji ni shilingi 27,000/- na…

Continue ReadingKapinga: Kuunganisha umeme maeneo ya vijiji ni 27,000 
Read more about the article Rais Kagame aionya Afrika Kusini

Rais Kagame aionya Afrika Kusini

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 30, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Serikali za Afrika Kusini na Rwanda zimeingia katika mzozo kutokana na vita vinavyoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) baada ya wanajeshi 13 wa Afrika Kusini kuuawa katika uwanja…

Continue ReadingRais Kagame aionya Afrika Kusini
Read more about the article CRDB yakaribishwa kuwekeza Comoro

CRDB yakaribishwa kuwekeza Comoro

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 30, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Gavana wa Benki Kuu ya Comoro, Dk. Younoussa Imani jana Jumatano ametembelea makao makuu ya Benki ya CRDB na kumpa mwaliko Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Abdulmajid Nsekela kuangalia uwezekano…

Continue ReadingCRDB yakaribishwa kuwekeza Comoro
Read more about the article Dk. Mpango: Tafiti nyingi zinahitajika kuhusu ubora wa maji

Dk. Mpango: Tafiti nyingi zinahitajika kuhusu ubora wa maji

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 30, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema tafiti zinahitajika zaidi katika menejimenti ya rasilimali maji ili kuwezesha maarifa mapya na uelewa mpana kuhusu upatikanaji…

Continue ReadingDk. Mpango: Tafiti nyingi zinahitajika kuhusu ubora wa maji
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 76
  • 77
  • 78
  • 79
  • 80
  • 81
  • 82
  • …
  • 111
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu