Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article PPAA mguu sawa kurasimisha matumizi moduli kanda ya Ziwa

PPAA mguu sawa kurasimisha matumizi moduli kanda ya Ziwa

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 3, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imewasihi wadau wa Ununuzi wa Umma Mikoa ya Kanda ya Ziwa kushiriki mafunzo ya matumizi ya moduli ya…

Continue ReadingPPAA mguu sawa kurasimisha matumizi moduli kanda ya Ziwa
Read more about the article TFS yatakiwa kuendelea kutoa elimu ya uhifadhi kwa wananchi SAO HILL
Sao Hill

TFS yatakiwa kuendelea kutoa elimu ya uhifadhi kwa wananchi SAO HILL

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 3, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Mbunge wa Mafinga na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Cosato Chumi (CCM) ametembelea TFS-Shamba la Miti Sao Hill na kuwataka wahifadhi kuendelea kutoa elimu…

Continue ReadingTFS yatakiwa kuendelea kutoa elimu ya uhifadhi kwa wananchi SAO HILL
Read more about the article Uganda kuzindua awamu ya tatu ya utafiti wa mafuta

Uganda kuzindua awamu ya tatu ya utafiti wa mafuta

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 3, 2025
  • Post category:Usafiri wa Majini
  • Post comments:0 Comments

Uganda inatarajiwa kuzindua awamu ya tatu ya utoaji leseni ya utafiti wa mafuta katika mwaka wa fedha unaoanza mwezi Julai. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati na Madini, Ruth Nankabirwa…

Continue ReadingUganda kuzindua awamu ya tatu ya utafiti wa mafuta
Read more about the article Maafisa Korea Kusini wajaribu kumkamata Rais Yoon
Rais Yoon Suk Yeol

Maafisa Korea Kusini wajaribu kumkamata Rais Yoon

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 3, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Maafisa nchini Korea Kusini wamefanikiwa kuingia katika makazi ya rais mapema leo Ijumaa, wakijaribu kumkamata kiongozi aliyeondolewa madarakani Yoon Suk Yeol huku wafuasi wake wakiendelea kupiga kambi nje ya makazi…

Continue ReadingMaafisa Korea Kusini wajaribu kumkamata Rais Yoon
Read more about the article Polisi awaachia washukiwa 13 wakasherehekee mwaka mpya

Polisi awaachia washukiwa 13 wakasherehekee mwaka mpya

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 3, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Afisa wa polisi mlevi nchini Zambia amewaachilia washukiwa 13 kutoka kizuizini ili waende kusherehekea mwaka mpya. Inspekta wa upelelezi Titus Phiri alikamatwa baada ya kuwaachilia washukiwa hao kutoka kituo cha…

Continue ReadingPolisi awaachia washukiwa 13 wakasherehekee mwaka mpya
Read more about the article Rais Mwinyi aipongeza NMB kudhamini, kushiriki Siku ya Mazoezi Kitaifa Z’bar

Rais Mwinyi aipongeza NMB kudhamini, kushiriki Siku ya Mazoezi Kitaifa Z’bar

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 1, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameipongeza Benki ya NMB kwa kuendelea kuunga mkono shughuli mbalimbali za Serikali yake,…

Continue ReadingRais Mwinyi aipongeza NMB kudhamini, kushiriki Siku ya Mazoezi Kitaifa Z’bar
Read more about the article Majaliwa awataka Watanzania kulinda mazingira kwa kutumia nishati safi kupikia

Majaliwa awataka Watanzania kulinda mazingira kwa kutumia nishati safi kupikia

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 31, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watanzania kuhakikisha wanatumia nishati safi ya kupikia kama njia mahususi ya kutunza na kulinda mazingira pia kuokoa uharibifu wa misitu. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo…

Continue ReadingMajaliwa awataka Watanzania kulinda mazingira kwa kutumia nishati safi kupikia
Read more about the article Mazishi kitaifa ya Rais Jimmy Carter Januari 9

Mazishi kitaifa ya Rais Jimmy Carter Januari 9

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 31, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Mazishi ya kitaifa ya Jimmy Carter, rais wa zamani wa Marekani aliyefariki Jumapili akiwa na umri wa miaka 100, yatafanyika katika Kanisa Kuu la Katoliki mjini Washington mnamo Januari 9,…

Continue ReadingMazishi kitaifa ya Rais Jimmy Carter Januari 9
Read more about the article Kiswaga amshukuru Samia utekelezaji miradi ya maendeleo wilayani Magu

Kiswaga amshukuru Samia utekelezaji miradi ya maendeleo wilayani Magu

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 31, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Mbunge wa Magu, Boniventura Kiswaga (CCM) amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutekeleza malengo ya bajeti inayotengwa kila mwaka kutokana na upatikanaji wa fedha kwenye miradi ya maendeleo kama…

Continue ReadingKiswaga amshukuru Samia utekelezaji miradi ya maendeleo wilayani Magu
Read more about the article Mali za wakulima zenye thamani ya bilioni 1.4 zakamatwa Tabora

Mali za wakulima zenye thamani ya bilioni 1.4 zakamatwa Tabora

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 31, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

OPARESHENI maalumu iliyofanywa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama imefanikisha kukamatwa magunia ya kufungia tumbaku maarufu kama majafafa yenye thamani…

Continue ReadingMali za wakulima zenye thamani ya bilioni 1.4 zakamatwa Tabora
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 85
  • 86
  • 87
  • 88
  • 89
  • 90
  • 91
  • …
  • 111
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu