UNESCO yaridhishwa na hifadhi ya jiolojia ya Ngorongoro Lengai
Kikao cha Wajumbe wa Baraza la UNESCO la Jiopaki kilichofanyika tarehe 10 Desemba, 2024 kwa njia ya mtandao kimeridhishwa na shughuli za uhifadhi wa Jiolojia ya Ngorongoro Lengai ambapo NCAA…
