REA yaendesha mafunzo na kugawa majiko ya gesi kwa makundi maalum Bukombe
Wakala wa Nishati Vijijini (REA); tarehe 10 Desemba, 2024 imeendesha mafunzo maalum kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kushirikiana na Taasisi ya Maendeleo ya Viziwi Tanzania (TAMAVITA) na…
