Watu 2 wathibitika kuwa na ugonjwa wa Mpox nchini
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Watu wawili wamethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox nchini Tanzania. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya, Jenista Mhagama kwenye taarifa kwa umma…