Wakandarasi waomba siku 90 ujenzi ofisi ya waziri mkuu, nishati
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefanya ziara katika Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma kukagua maendeleo ya ujenzi majengo ya…