Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article Ndege iliyopotea yapatikana, abiria 50 wahofiwa kufariki dunia

Ndege iliyopotea yapatikana, abiria 50 wahofiwa kufariki dunia

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 24, 2025
  • Post category:Usafiri wa Anga
  • Post comments:0 Comments

Ndege ya abiria ya nchini Urusi iliyokuwa na watu takriban 50 imeanguka eneo la Amur, mashariki mwa nchi hiyo, huku watu wote waliokuwa ndani wakidhaniwa kupoteza maisha. Ndege hiyo aina…

Continue ReadingNdege iliyopotea yapatikana, abiria 50 wahofiwa kufariki dunia
Read more about the article Tanzania yajipanga kwa “Miss World 2027”

Tanzania yajipanga kwa “Miss World 2027”

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 20, 2025
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani
  • Post comments:0 Comments

Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia Tanzania kuanza maandalizi ya kuwa mwenyeji wa shindano urembo duniani (Miss World) mwaka 2027. Uamuzi huo unatajwa kuwa utafungua mafanikio lukuki kwa nchini ikiwemo katika…

Continue ReadingTanzania yajipanga kwa “Miss World 2027”
Read more about the article TAWLA yatambulisha mradi wa kutokomeza ukatili wa kijinsia Magu

TAWLA yatambulisha mradi wa kutokomeza ukatili wa kijinsia Magu

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 18, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Chama cha Wanasheria Wanawake (TAWLA) kinatarajia kuwanoa wanawake zaidi ya 1000 wilayani Magu kuhusu masuala mbalimbali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kujua haki zao katika umiliki wa ardhi…

Continue ReadingTAWLA yatambulisha mradi wa kutokomeza ukatili wa kijinsia Magu
Read more about the article TCB yaahidi kuunga mkono Dira ya Maendeleo ya 2050 kwa kuimarisha huduma za kifedha

TCB yaahidi kuunga mkono Dira ya Maendeleo ya 2050 kwa kuimarisha huduma za kifedha

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 17, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Rais Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma, huku akieleza malengo makuu ya kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa kisasa, jumuishi na…

Continue ReadingTCB yaahidi kuunga mkono Dira ya Maendeleo ya 2050 kwa kuimarisha huduma za kifedha
Read more about the article NMB, AG waimarisha ushirikiano katika utoaji wa huduma kwa wateja

NMB, AG waimarisha ushirikiano katika utoaji wa huduma kwa wateja

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 17, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Ujumbe kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (OAG) ukiongozwa na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Samwel MManeno, umetembelea makao makuu ya Benki ya NMB na kufanya kikao na uongozi…

Continue ReadingNMB, AG waimarisha ushirikiano katika utoaji wa huduma kwa wateja
Read more about the article Kwaheri Joshua Nassari, karibu Magu DC Lawuo

Kwaheri Joshua Nassari, karibu Magu DC Lawuo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 16, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu, Joshua Nassari  amemkabidhi rasmi ofisi Mkuu mpya wa Wilaya, Jubilate Lawuo kufuatia uteuzi uliofanywa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…

Continue ReadingKwaheri Joshua Nassari, karibu Magu DC Lawuo
Read more about the article Vijana Magu watakiwa kuchangamkia fursa za mikopo inayotolewa na halmashauri

Vijana Magu watakiwa kuchangamkia fursa za mikopo inayotolewa na halmashauri

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 16, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Vijana katika Wilaya ya Magu wameaswa kutumia kikamilifu fursa za mikopo ya asilimia 10 inayotolewa  na halmashauri ili kujikwamua kiuchumi. Rai hiyo imetolewa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Magu,…

Continue ReadingVijana Magu watakiwa kuchangamkia fursa za mikopo inayotolewa na halmashauri
Read more about the article DAS Magu awafunda waganga kuelekea uchaguzi mkuu

DAS Magu awafunda waganga kuelekea uchaguzi mkuu

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 16, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

KATIBU Tawala Milaya ya Magu, Zuberi Said Zuberi amewataka waganga wa tiba asili wanaofanya shughuli zao katika wilaya hiyo kudumisha amani pamoja na kuzingatia wajibu wao wa kujisajili ili wapate…

Continue ReadingDAS Magu awafunda waganga kuelekea uchaguzi mkuu
Read more about the article Lishe bora yahimizwa kuepuka magonjwa yasiyoambukiza

Lishe bora yahimizwa kuepuka magonjwa yasiyoambukiza

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 14, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamWatanzania wametakiwa kuzingatia mpangilio mzuri wa lishe bora ili kuimarisha afya ya mwili  sambamba  na kuongeza kinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza ambayo yameshamiri kutokana na…

Continue ReadingLishe bora yahimizwa kuepuka magonjwa yasiyoambukiza
Read more about the article Polepole ajiuzulu Ubalozi, sababu uongozi kukosa maadili

Polepole ajiuzulu Ubalozi, sababu uongozi kukosa maadili

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 13, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduz (CCM), Humphrey Polepole amejiuzulu Uongozi wa Umma akiwa kama Balozi na Mkuu wa Kituo cha Uwakilishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Havana -…

Continue ReadingPolepole ajiuzulu Ubalozi, sababu uongozi kukosa maadili
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 35
  • 36
  • 37
  • 38
  • 39
  • 40
  • 41
  • …
  • 111
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu