Serikali yabainisha mikakati ya kurejesha hadhi ya madini ya Tanzanite
Na Mwandishi Wetu, Manyara Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema Serikali imejidhatiti kurudisha hadhi ya Tanzanite kwa kufanya minada ndani na nje ya nchi ili kuyaongezea thamani na wafanyabiashara waweze…