DC Magu akabidhi baiskeli 67 kwa wakulima wa pamba
MKUU wa wilaya ya Magu, Joshua Nassari amegawa baiskeli 67 kwa wakulima viongozi wa zao la pamba kutoka tarafa za Kahangara na Itumbili wilayani humo ili kuwarahisisha usafiri wa kufika…
MKUU wa wilaya ya Magu, Joshua Nassari amegawa baiskeli 67 kwa wakulima viongozi wa zao la pamba kutoka tarafa za Kahangara na Itumbili wilayani humo ili kuwarahisisha usafiri wa kufika…
BEI ya mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa imeendelea kushuka baada ya bei za mafuta yanayoingia nchini kupitia bandari mbalimbali kutangazwa kushuka kuanzia leo Jumatano, Desemba 4, 2024.…
HATIMAYE Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa nane wanaodaiwa kutaka kumteka Deogratius Tarimo, mkazi wa Kiluvya jijini Dar es Salaam. Hatua hiyo imekuja ikiwa zimepita…
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Hazara Chana amewataka Maafisa Wanyamapori wote nchini kuchukua hatua madhubuti ya kulinda na kuhifadhi wanyapori ikiwa ni pamoja na kuweka mikakati ya…
Na Mwandishi Wetu, Arusha Serikali imeahidi kufikisha umeme katika Shule ya Msingi ya Lucas Mhina ili wanafunzi na wanakijiji wapate nishati ya umeme itakayowawezesha kuendelea na shughuli za kiuchumi na…
NA JOSEPH SHALUWA ALBAMU mpya ya staa wa muziki nchini Nigeria, Eric Bellinger inayokwenda kwa jina la 'It’ll All Make Sense Later' imewashirikisha mastaa kibao akiwemo Burna Boy ambaye ana Tuzo ya Muziki…
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi waBandari Tanzania (TPA) kwa mara ya tatu mfululizo imetangazwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) kuwa ni mwajiri bora wa sekta…
Rais wa Marekani, Joe Biden amempa mwanaye Hunter Biden msamaha wa rais na kumuepushia kifungo jela kutokana na makosa ya umiliki wa bunduki kinyume cha sheria na madai ya kukwepa…
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ataunda tume mbili ambapo moja itachunguza na kutoa mapendakezo kuhusu masuala ya ardhi yanayolalamikiwa na wakazi wa Ngorongoro huku tume nyingine ikiangalia utekelezaji wa zoezi…
Na Mwandishi Wetu VIONGOZI wa dini, mila na siasa katika Halmashauri ya wilaya ya Magu mkoani Mwanza wameipongeza Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa…