Biteko: Waajiri ongezeni utu, umakini kazini kukuza ubunifu
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewahimiza waajiri nchini kuongeza umakini na kuzingatia misingi ya utu mahali pa kazi ili iwe motisha na chachu kwa watumishi…
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewahimiza waajiri nchini kuongeza umakini na kuzingatia misingi ya utu mahali pa kazi ili iwe motisha na chachu kwa watumishi…
Jumuiya ya Mamlaka za Usimamizi wa Usafiri majini Barani Afrika zimetakiwa kushirikiana na kuungana ili kuimarisha usalama wa sekta ya usafirishaji majini na hivyo kuchochea maendeleo ya Uchumi katika nchi…
NA MWANDISHI WETU BENKI ya NMB imezindua Huduma ya Kimkakati kwa Ustawi wa Sekta ya Fedha na Uchumi wa Taifa ‘NMB Worldwide Pesa, inayowapa fursa Watanzania ya kutuma na kupokea…
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 27 Novemba 2024 amewaongoza wananchi wa Kata ya Bulangwa wilayani Bukombe mkoani Geita kupiga kura kuwachagua viongozi…
Benki ya NMB imetoa msaada wa mabati 150 na madawati 150 kwa shule za msingi KASANGA, KISASA na SAWALA zilizopo wilayani mufindi mkoani Iringa vyenye thamani ya zaidi ya shilingi…
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Geita…
Na Mwandishi Wetu, Mwanza VIONGOZI wa dini, mila na siasa katika Halmashauri ya wilaya ya Magu mkoani Mwanza wameipongeza Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan…
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema katika Uchaguzi wa Serikali…
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza Watanzania kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Dk. Biteko ametoa rai hiyo leo Novemba 25,2024 akiwa mkoani…
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa CCM chini…