Wabunge waridhishwa na utendaji kazi wa benki ya TCB
KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeeleza kuridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB), huku ikiielekeza benki hiyo kuendelea kutoa gawio…
KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeeleza kuridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB), huku ikiielekeza benki hiyo kuendelea kutoa gawio…
Na Mwandishi Wetu, Arusha Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk. Pindi Chana amefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na ujumbe kutoka Idara ya Uvuvi na Wanyamapori ya Serikali ya…
Na Mwandishi Wetu, Lindi Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amewaagiza Mameneja wa TARURA wa Wilaya kote nchini kukagua na kusafisha madaraja…
Ili kufikia malengo tarajiwa katika matumizi ya nishati safi ya kupikia, Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango amesema ni muhimu uvumbuzi na ubunifu wa vijana ukazingatiwa. Kauli hiyo ya Dk…
Mamlaka ya kitaifa ya kusimamia safari za ndege nchini Marekani jana Jumanne imetangaza kuwa itapiga marufuku safari za ndege za Marekani kuelekea Haiti kwa siku 30 baada ya ndege ya…
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) inajivunia kutangaza uzinduzi wa bidhaa ya LIPA POPOTE, suluhisho la malipo lililobuniwa ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs) na wamiliki wa…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ZAIDI ya wagonjwa 1,000 wa macho wengine 200 wa rufaa wamepimwa macho na kupatiwa matibabu katika zoezi linaloratibiwa na Hospital ya CCBRT katika kambi tatu…
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump usiku wa kuamkia leo Jumatano ametangaza kuwa atamteua bilionea Elon Musk na mgombea urais wa zamani wa chama cha Republican, Vivek Ramaswamy kuongoza ldara…
Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ametoa wito kwa Mkutano wa COP29 kulipa hadhi ya kipekee suala la matumizi ya nishati safi ya kupikia katika mjadala wa kuhamasisha upatikanaji fedha…
Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Uhalifu, ICC ya mjini The Hague, Päivi Kaukoranta amesema wameanzisha uchunguzi dhidi ya Mwendesha mashtaka mkuu Karim Khan anayetuhumiwa kwa unyanyasaji wa…