Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article Mavunde ‘ageuka mbogo’ kwa wachimbaji wanaoingiza wageni kinyemela

Mavunde ‘ageuka mbogo’ kwa wachimbaji wanaoingiza wageni kinyemela

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 17, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Morogoro Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa  kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo; hii ni kufuatia changamoto zilizobainika katika uingiaji…

Continue ReadingMavunde ‘ageuka mbogo’ kwa wachimbaji wanaoingiza wageni kinyemela
Read more about the article Papa Francis aendelea na matibabu hospitali kwa siku 4

Papa Francis aendelea na matibabu hospitali kwa siku 4

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 17, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amelazwa hospitali kwa siku ya nne mfululizo katika kile viongozi mjini Vatican wamesema anapatiwa matibabu ya maambukizi kwenye njia ya hewa lakini anaendelea…

Continue ReadingPapa Francis aendelea na matibabu hospitali kwa siku 4
Read more about the article Shakira asitisha shoo kisa maumivu ya tumbo

Shakira asitisha shoo kisa maumivu ya tumbo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 17, 2025
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani
  • Post comments:0 Comments

Nyota wa muziki, raia wa Colombia Shakira jana Jumapili amelazimika kusitisha show yake huko Lima, Peru, na baadaye kupelekwa hospitalini kutokana na maumivu ya tumbo. Shakira kupitia taarifa kwenye akaunti…

Continue ReadingShakira asitisha shoo kisa maumivu ya tumbo
Read more about the article M23 waingia bukavu

M23 waingia bukavu

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 17, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Waasi wanaoungwa mkono na Rwanda walifika katikati mwa jiji la pili kwa ukubwa mashariki mwa DRC, Bukavu, jana Jumapili asubuhi na kuchukua udhibiti wa ofisi ya utawala wa jimbo la…

Continue ReadingM23 waingia bukavu
Read more about the article Uganda kuondoa kesi ya Besigye katika mahakama ya kijeshi

Uganda kuondoa kesi ya Besigye katika mahakama ya kijeshi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 17, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Serikali ya Uganda imesema itaiondoa kesi dhidi ya mpinzani mkongwe Kizza Besigye katika mahakama ya kijeshi, na kumtaka asitishe mgomo wa kula gerezani. Ahadi hiyo imetupiliwa mbali na mke wa…

Continue ReadingUganda kuondoa kesi ya Besigye katika mahakama ya kijeshi
Read more about the article Wabunge wakunwa ujenzi vituo maalum vya kudhibiti wanyama wakali

Wabunge wakunwa ujenzi vituo maalum vya kudhibiti wanyama wakali

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 17, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Tanga Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusikiliza kilio cha wananchi kuhusu wanyama wakali…

Continue ReadingWabunge wakunwa ujenzi vituo maalum vya kudhibiti wanyama wakali
Read more about the article Biteko: Uchaguzi mkuu wa oktoba usiligawe taifa

Biteko: Uchaguzi mkuu wa oktoba usiligawe taifa

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 17, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuiombea nchi pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan ili aendelee kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi.…

Continue ReadingBiteko: Uchaguzi mkuu wa oktoba usiligawe taifa
Read more about the article Dk. Mpango aifariji familia ya marehemu Nkondo

Dk. Mpango aifariji familia ya marehemu Nkondo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 17, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Makamu Dk. Philip Mpango na mwenza wake Mama Mbonimapaye Mpango wameifariji familia na waombolezaji mbalimbali kufuatia kifo cha Johnson Nkondo aliyekuwa Msaidizi wa Ofisi Mkuu - Ofisi ya Makamu wa…

Continue ReadingDk. Mpango aifariji familia ya marehemu Nkondo
Read more about the article Maonyesho ya ISUZU yahitimishwa kwa mafanikio wabunge, wadau wa usafirishaji watia neno

Maonyesho ya ISUZU yahitimishwa kwa mafanikio wabunge, wadau wa usafirishaji watia neno

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 17, 2025
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Maonyesho ya siku tatu yaliyoandaliwa na kampuni ya Al Mansour Auto EA Tanzania, kuangazia teknolojia za kisasa za usafiri na muktadha mzuri wa magari ya ISUZU,…

Continue ReadingMaonyesho ya ISUZU yahitimishwa kwa mafanikio wabunge, wadau wa usafirishaji watia neno
Read more about the article Wakulima wajipatia  bilioni 347 kutoka NFRA

Wakulima wajipatia  bilioni 347 kutoka NFRA

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 16, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wakulima wa Tanzania wanaozalisha  mazao ya chakula na kuyauza kwa Wakala wa Taifa wa Uhifadhi wa Chakula Nchini (NFRA)  wamelipwa bilioni 347   katika miezi minane iliyopita kuanzia  mwezi…

Continue ReadingWakulima wajipatia  bilioni 347 kutoka NFRA
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 69
  • 70
  • 71
  • 72
  • 73
  • 74
  • 75
  • …
  • 111
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu