Ushirikiano TFS waboresha upandaji miti shamba la Saohill
Shughuli za upandaji wa miti zinaendelea TFS - Shamba la Miti Sao Hill kwa wahifadhi kuendelea kusimamia zoezi la upandaji wa miti ambalo linafanyika katika kipindi hiki cha masika. Hayo…
Shughuli za upandaji wa miti zinaendelea TFS - Shamba la Miti Sao Hill kwa wahifadhi kuendelea kusimamia zoezi la upandaji wa miti ambalo linafanyika katika kipindi hiki cha masika. Hayo…
Serikali kupitia Wizara ya Afya, imesema dawa za kufubaza makali ya Virusi vya UKIMWI (ARVs) haziuzwi na kwamba zipo za kutosha. Imeongeza kuwa watumiaji wa dawa hizi, hawana sababu ya…
Na: Dk. Reubeni Lumbagala Mlo kamili, kupumzika na kufanya mazoezi ni miongoni mwa mambo muhimu sana katika ujenzi wa afya ya binadamu. Kutokana na umuhimu wa masuala haya, wataalam wa…
Na Mwandishi wetu - Simiyu SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imekabidhi madawati 295 yenye thamani ya Shillingi Millioni 25.9 Kwa shule za sekondari na msingi Mkoani…
Na Mwandishi Wetu, Arusha Watumishi 65 wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD), jana Februari 7, 2025, wamefanya ziara ya kihistoria ya kutembelea hifadhi ya Ngorongoro (NCA) kwa ajili ya…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa ujenzi wa mejengo 36 ya serikali umefikia asilimia 89.4 huku Jengo…
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule leo Ijumaa amegharamia malipo ya utengenezwaji wa paspoti kwa baadhi ya mabondia wa timu ya Taifa ya ngumi. Mtambule amejitolea gharama hizo katika…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Madini imesema inaendelea na juhudi za kupunguza mzigo wa tozo kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu nchini kwa kufanya mapitio ya ada na…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mfumo wa kielektroniki wa Anwani za makazi (NaPA) ambao una programu tumizi yaani ‘Application’ utasaidia kuboresha huduma za usafiri na usalama wa abiria na madereva ambapo…
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Uhuru kilichopo Wilaya ya Urambo mkoani Tabora umekamilika. Kapinga ameyasema hayo leo Februari 07…