Uunganishaji umeme vijijini wafikia asilimia 99.9
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umesema kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Desemba 2024, vijiji vilivyounganishwa na umeme nchini vimefikia 12,301 kati ya vijiji 12,318 ambayo ni sawa na asilimia…
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umesema kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Desemba 2024, vijiji vilivyounganishwa na umeme nchini vimefikia 12,301 kati ya vijiji 12,318 ambayo ni sawa na asilimia…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema, dhamira njema ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuipa kipaumbele Sekta ya Afya nchini…
WAZIRI wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa saa 72 kwa Wakala ya Barabara nchini (TANROADS) Mkoa wa Kilimanjaro kurejesha mawasiliano katika daraja la Gonja Mpirani. Hatua hiyo inafuatia kuvunjika kwa daraja…
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma Kampuni ya Taifa Gas Limited kwa ajili ya kutekeleza mradi wa shilingi milioni 317.3 wa kusambaza majiko ya gesi 16,275…
Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo amesema wamiliki wote wa pasipoti wa Kiafrika sasa wanaweza kuzuru Ghana bila kuhitaji visa. Rais huyo anayemaliza muda wake alitangaza mpango huo mwezi uliopita lakini…
TIMU ya Wanawake ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 ya JKT Queens, imepangwa kundi A katika mashindano ya CAF, ukanda wa CECAFA yatakayofanyika katika uwanja wa Azam Complex…
Wahamiaji 27 wakiwemo wanawake na watoto, wamefariki dunia wakati boti mbili zilipopinduka kwenye pwani katikati mwa Tunisia, huku watu 83 wakiwa wameokolewa. Afisa wa ulinzi wa kiraia aliliambia shirika la…
Watuhumiwa watano akiwamo katibu wa Mbunge wa Kilolo, Kefa Walles, Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi kupitia CCM wilaya ya Kilolo, Hedikosi Kimwaga, Diwani kata ya Nyanzwa, Boniface Ugwale maarufu kama…
Mtoto Mwenye umri wa miaka nane Mkazi wa Uruira katika halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi amefariki dunia kwa kujinyonga huku chanzo kikidaiwa kuwa ni msongo wa mawazo baada ya kutonunuliwa…
Polisi wa Kata, Makoye Kitula katika Kata ya Nyigogo iliyopo katika wilaya ya Magu mkoani Mwanza ambaye pia Mkaguzi msaidizi wa Jeshi la Polisi amesimikwa uchifu na kupewa jina la…