Majaliwa: Baraza la mawaziri sasa kidijitali
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa matumizi ya mfumo wa kielektroniki wa Baraza la Mawaziri utasaidia kuboresha utendaji kazi na kuleta ufanisi zaidi katika kuwahudumia wananchi. Amesema kuwa maboresho hayo…
