Mamia wanufaika kupitia Bonge la Mpango ya NMB
Mwandishi Wetu, Dodoma BENKI ya NMB imetoa mamilioni ya fedha na vifaa ikiwemo zana za kilimo, friji na TV huku ikisubiri mshindi atakayeibuka na Sh100 milioni. Zawadi hizo zimetolewa kwa…
Mwandishi Wetu, Dodoma BENKI ya NMB imetoa mamilioni ya fedha na vifaa ikiwemo zana za kilimo, friji na TV huku ikisubiri mshindi atakayeibuka na Sh100 milioni. Zawadi hizo zimetolewa kwa…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amekagua mradi wa ujenzi wa barabara ya Bagamoyo ya mwendokasi inayounganisha maeneo ya Tegeta, Mwenge, Ubungo na Mbezi na kuwataka wakandarasi…
Na Mwandishi Wetu, Mbeya Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameipongeza Benki ya NBC kwa jitihada na mkakati wake wa kutoa elimu kuhusu matumizi ya huduma rasmi…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam BENKI ya NMB na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wamesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano, unaolenga kukuza vipaji, ubunifu, uwekezaji katika mageuzi…
Mabasi ya abiria, magari madogo, bajaji na pikipiki yameanza kupita katika baadhi ya maeneo ya barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT II) inayoanzia Kariakoo hadi Mbagala mara baada ya Waziri…
MATUNDA ya Uwekezaji wa Sh. 429 bilioni uliofanywa na Serikali katika Bandari ya Tanga umeanza kulipa kutokana na ongezeko kubwa la idadi ya meli zinazopitisha shehena kutoka meli 197 kwa…
Katika jitihada za kupunguza migogoro isiyo na ulazima katika jamii, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini ameupongeza Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kwa kutoa mafunzo ya…
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa leo tarehe 22 Oktoba 2024 ameshuhudia utiaji saini, ujenzi wa daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 litakalounganisha kipande cha Magomeni Wilaya ya Kinondoni…
Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango Makamu wa Rais ameitaka Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF) pamoja na Watalaam wa fikra tunduizi kufanya utafiti kuhusu tabia za hivi…
Na Mwandishi Wetu, Katavi Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekamilisha ujenzi wa daraja la Msadya lenye urefu wa mita 60 na upana mita 10.5 pamoja…