NMB yashiriki jukwaa la kujadili masuala ya maji
Na Mwandishi Wetu Benki ya NMB imeshiriki na kudhamini Jukwaa la Kujadili Masuala ya Maji lililofanyika jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Maji yanayoendelea…
Na Mwandishi Wetu Benki ya NMB imeshiriki na kudhamini Jukwaa la Kujadili Masuala ya Maji lililofanyika jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Maji yanayoendelea…
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Waziri wa Katiba na Sheria Dk Damas Ndumbaro ameziagiza Bodi mbalimbali za Wadhamini wa taasisi ambazo zimemaliza muda wake wa uongozi kufanya uchaguzi mara moja…
Tanzania imelenga kuunganisha nishati ya jotoardhi kwenye gridi ya taifa ifikapo mwaka 2030 ili kuwa na umeme wa uhakika unaotokana na nishati jadidifu kuelekea Dira ya Tanzania 2025 ambayo inasisitiza…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka Waandikishaji Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki (BVR) kutekeleza majukumu yao vituoni kwa kufuata sharia, Kanuni…
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Nickson Simon amefungua kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA). Akifungua kikao hicho katika…
Baraza la Vyama vya Siasa nchini limekemea vikali upotoshaji wa wadau wenzao, kikiwemo Chama cha ACT WAZALENDO kilichochapisha vipeperushi vya kubagaza Baraza hilo kama njia ya kuharibu utendaji kazi wake…
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Wakili Sebastian Waryuba amewataka wananchi waliohama kwa hiyari kutoka katika Kijiji cha Ngombo ambacho awali kilikuwa ndani ya Pori la Akiba Kilombero…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Benki ya NMB, kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais – TAMISEMI, imebuni na kuzindua mfumo wa kisasa wa kidijitali wenye lengo la kusaidia Mamlaka za Serikali…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri wa Sheria na Katiba Dkt.Damas Ndumbaro amewashangaa baadhi ya wadhamini wa taasisi, zikiwemo za kidini, ambao hawatimizi majukumu yao kikamilifu kwa kuendelea kutumia mali…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAFANYAKAZI wanawake wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) wametoa msaada wa vifaa tiba kwa hospitali ya Wilaya ya Kigamboni na hospitali ya…