NMB yapongezwa kwa kusaidia ujenzi Shule ya Wasichana Kahimba
Na Mwandishi wetu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ameitunuku Benki ya NMB cheti cha shukrani kwa mchango wake katika ujenzi wa Shule ya…
Na Mwandishi wetu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ameitunuku Benki ya NMB cheti cha shukrani kwa mchango wake katika ujenzi wa Shule ya…
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema kuwa matumizi ya nishati katika Bara la Afrika hasa Kusini mwa Jangwa la Sahara bado ni madogo ikilinganishwa na maeneo mengine kama Bara…
NA MWANDISHI WETU SERIKALI imeipongeza Benki ya NMB kwa kuwatambua, kuwajali na kuwathamini watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu kwa namna inavyojitoa kuwafikia, kuona mahitaji na changamoto zao na…
Na Mwandishi Wetu, Arusha Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Taifa wa Uhifadhi wa Chakula nchini (NFRA), Balozi John Ulanga amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini Rais Dkt…
Mtu aliyetunga jina la taifa la Tanzania, Mohamed Iqbal Dar, amefariki dunia akiwa usingizini jijini Birmingham, Uingereza alikokuwa akiishi. Iqbal alishiriki katika shindano la kutafuta jina la Tanzania lililoandaliwa mwaka…
Na Mwandishi Wetu, Ngorongoro Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mara ya kwanza imepokea Faru weupe 18 kutoka nchini Afrika Kusini kwa…
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Wananchi wa kata ya Lumbiji wilayani Kilosa mkoani Morogoro wameishukuru Serikali kupitia TARURA kuwajengea barabara ya Ludewa - Lumbiji yenye urefu wa Km 21.6. Wananchi hao…
Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe ameapa kupambana na changamoto za vyama vya ushirika ambavyo vimekua ni kikwazo vya maendeleo katika wilaya hiyo. Saashisha amebainisha hayo katika ziara yake…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bw Kassim Majaliwa amezindua rasmi huduma za kidijitali za Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) inayofahamika…
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi wa Kijiji cha Kasumo na Wilaya ya Buhigwe kutambua na kuthamini mchango wa Serikali katika maendeleo ya huduma…