Barabara kuu Mwanza Mjini-Usagara kujengwa njia nne
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi inachukua hatua za haraka kushughulikia msongamano wa magari kwenye Barabara Kuu kutoka Mwanza Mjini hadi Usagara kwa kuijenga kwa…