Utawala wa Moi ulivyomtesa Ngungi wa Thiong’o, mkewe aliwahi kubakwa…
Ngugi wa Thiong’o, gwiji wa fasihi kutoka Kenya na mpigania haki kwa njia ya kalamu, ameaga dunia akiwa na miaka 87. Kazi zake zilijikita katika kupinga ukoloni wa kiakili, na…
Ngugi wa Thiong’o, gwiji wa fasihi kutoka Kenya na mpigania haki kwa njia ya kalamu, ameaga dunia akiwa na miaka 87. Kazi zake zilijikita katika kupinga ukoloni wa kiakili, na…
Na Mwandishi Wetu, Arusha Benki ya NMB imenunua na kugawa vitanda, madawati, viti na meza vyenye thamani ya Shilingi milioni 125.2 katika shule 15 za Wilaya ya Arusha na Arumeru.…
Rais wa Kenya, William Ruto ameomba radhi mataifa jirani ya Tanzania na Uganda katika hatua ambayo inaonekana kuwa ni juhudi za kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo ya Afrika Mashariki.…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ameainisha vipaumbele vya wizara vikubwa vitano katika utekelezaji wa bajeti kwa mwaka wa…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt.Selemani Jafo kesho anarajiwa kufungua maonesho ya huduma ya kinywa na meno ‘Tanzania Dental Expo’ yatakayofanyika Mlimani City jijini Dar…
Na Mwandishi Wetu, Mwanza Benki ya NMB imethibitisha dhamira yake ya kuunga mkono maendeleo ya serikali za mitaa kwa kudhamini Mkutano Mkuu wa 25 wa Jumuiya ya Mamlaka za Serikali…
ZAIDI ya watumishi 300 ambao ni walimu wakuu, walimu wa ununuzi, watendaji wa kata na wa vijiji katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu wamepewa mafunzo kuhusu usimamizi na ununuzi wa…
Mahakama nchini Algeria imewahukumu kifungo cha miaka 10 gerezani wagombea watatu wa urais baada ya kuwatia hatiani kwa makosa ya ufisadi. Mfanyabiashara Saida Neghza, waziri wa zamani Belkacem Sahli na…
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali imefikisha umeme kwenye mitaa 58 ya Mji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime kati ya mitaa 81 ya Halmashauri hiyo. Kapinga ameyasema…
Mamlaka katika jimbo la Kerala kusini mwa India wametoa tahadhari baada ya meli iliyokuwa imebeba mafuta kuzama katika bahari ya Arabia. Taarifa ya jeshi la wanamaji la India imefahamisha kwamba…