Dk. Mpango ataka afrika kubuni njia bora uendelezaji rasilimali za nishati
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema kuwa matumizi ya nishati katika Bara la Afrika hasa Kusini mwa Jangwa la Sahara bado ni madogo ikilinganishwa na maeneo mengine kama Bara…
