Wakazi zaidi ya 1,000 Mpiji Magoe kunufaika na huduma ya majisafi
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inaendelea na utekelezaji wa mradi wa maji Mpiji Magoe katika kata ya Mbezi Wilayani Ubungo wenye lengo la kutatua…
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inaendelea na utekelezaji wa mradi wa maji Mpiji Magoe katika kata ya Mbezi Wilayani Ubungo wenye lengo la kutatua…
SIKU moja baada ya Tundu Lissu kushinda nafasi ya Uenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakili huyo amedaiwa kushindwa kulipa gharama za Ukumbi wa Mlimani City walipokuwa wakifanya…
Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Czech wameahidi kushirikiana na Serikali kuchangamkia fursa zinazopatikana katika nchi hiyo kwa manufaa ya nchi na wananchi. Ahadi hiyo wameitoa Januari 18, 2025 walipofanya kikao na…
Wananchi wa Wilaya ya Karatu jijini Arusha, wametakiwa kuhakikisha kuwa wanatumia Taasisi za fedha zilizosajiliwa ambazo zinazingatia sheria, kanuni na taratibu katika huduma za fedha ili kujiepesha na watoa huduma…
KADA machachari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameibuka mshindi katika nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho katika uchaguzi uliofanyika kuanzia jana hadi leo asubuhi kwenye ukumbi…
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekagua vivuko viwili kati ya sita (6) vilivyowasili katika eneo la Magogoni kwa ajili ya kutoa huduma ya usafiri eneo la Kigamboni na Magogoni na kuagiza…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewakaribisha wafanyabiashara wa Czech kuangalia fursa za uwekezaji nchini Tanzania katika sekta za utalii, uchukuzi, afya,…
Wizara ya Madini imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 521 katika kipindi cha Julai 1, 2024, hadi Desemba 31, 2024. Hii ni sawa na asilimia 52.2 ya lengo la kukusanya shilingi trilioni…
Vyuo na taasisi zinazotoa elimu ngazi ya Kati ikiwemo Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), zimetakiwa kuboresha mitaala yake ya masomo ili iendane na mahitaji ya sasa ya soko la…
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limeipatia Tanzania shilingi bilioni 7.56, ili kudhiti na kukabiliana na ugonjwa wa Marburg nchini. Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk. Tedros Adhanom Ghebreyesus,…