Wafanyakazi GGML wagoma kula siku 2
Wafanyakazi wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) nchini Tanzania wameendelea na mgomo wa chakula kwa siku ya pili kushinikiza uongozi wa kampuni hiyo kutimiza ahadi yake kuhusu gharama…
Wafanyakazi wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) nchini Tanzania wameendelea na mgomo wa chakula kwa siku ya pili kushinikiza uongozi wa kampuni hiyo kutimiza ahadi yake kuhusu gharama…
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameiagiza Idara ya Menejimenti ya Maafa na Jeshi la Zimamoto kutumia mapendekezo yaliyomo kwenye tafiti ya marehemu Billy Mwakatage ambaye ni mhitimu wa shahada ya Uzamivu…
Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee John Malecela, amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwa na moyo wa kizalendo na…
Makamu wa Rais Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema Tanzania inaendelea kufanya mashauriano ndani ya Serikali ili kuona namna itakavyoweza kushiriki katika uendelezaji wa Ushoroba wa Lobito kwa kuzingatia vipaumbe vya…
Na Mwandishi Wetu Benki ya NMB imedhihirisha tena ukubwa wake nchini, baada ya mwaka huu kuweka rekodi kwa kutwaa zaidi ya tuzo 30 zinazotambua ubora wa huduma zake, ubunifu, ufanisi…
Na Mwandishi Wetu, Arusha Watu wa jamii zinazoishi pembezoni mwa miji wanaojulikana kama watu wa asili wameupongeza mradi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kwa kuendelea kuheshimu…
Na Mwandishi Wetu, Manyara Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Hanang imefanikiwa kurejesha miundombinu ya barabara iliyoathiriwa na mafuriko ya tope, magogo na mawe mwishoni mwa…
Na Mwandishi Wetu, Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewaasa wahasibu barani Afrika kuisimamia taaluma yao kikamilifu kwa sababu Afrika inawategemea kunufaika na utajiri wake.…
Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso amewasili Seoul nchini Korea Kusini kwa mualiko maalumu wa Benki ya Exim ya Korea na mfuko wa mashirikiano ya kiuchumi wa Korea (EDCF) ambapo…
MKUU wa wilaya ya Magu, Joshua Nassari amegawa baiskeli 67 kwa wakulima viongozi wa zao la pamba kutoka tarafa za Kahangara na Itumbili wilayani humo ili kuwarahisisha usafiri wa kufika…