Morocco kuagiza treni za mwendo kasi kutoka Ufaransa
SERIKALI ya Morocco imekubali kununua treni za mwendo kasi kutoka kwa kampuni ya Ufaransa ya Alstom, ukiwa moja ya mikataba iliotiwa saini wakati wa ziara ya Rais Emmanuel Macron, kwenye…
SERIKALI ya Morocco imekubali kununua treni za mwendo kasi kutoka kwa kampuni ya Ufaransa ya Alstom, ukiwa moja ya mikataba iliotiwa saini wakati wa ziara ya Rais Emmanuel Macron, kwenye…
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limepanga kuanzisha tena safari za moja kwa moja kuelekea Jonannesburg nchini Afrika Kusini. Kulingana na ATCL, safari hizo ambazo zitakuwa mara tano kwa wiki,…
Kiungo wa kati wa Uhispania na Manchester City, Rodrigo Hernández Cascante ‘Rodri’ ameshinda tuzo ya Ballon d'Or ya mchezaji bora wa dunia kwa mwaka 2024, akiwashinda Mbrazil Vinicius Jr na…
Na Mwandishi Wetu, Katavi Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeendelea kuboresha huduma za usafiri na usafirishaji kwa kujenga barabara, vivuko na madaraja katika maeneo mbalimbali mkoani Katavi…
Na Mwandishi Wetu Benki ya NMB Plc imesisitiza kuendelea kutekeleza dhamira yake ya kuyawezesha makampuni kutoka Korea Kusini yenye nia ya kuwekeza hapa nchini, ikiwa ni sehemu ya jitihada zake…
Na Mwandishi Wetu, Mtwara Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetangaza kuwa Bandari ya Mtwara ipo tayari kushughulikia shehena yote ya korosho kwa ajili ya mauzo ya nje katika…
Na Mwandishi Wetu, Marekani. Benki ya NMB imesaini makubaliano na Shirika la Kimataifa la Fedha (IFC) na Mastercard kuzindua Mradi wa Ushauri wa “Banking on Women Advisory Project," ambao unalenga…
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema tangu kuanza kwa safari ya treni ya kisasa inayotumia umeme (SGR) katika mikoanya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma, tayari imekusanya kiasi cha…
WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka mkandarasi wa Kampuni ya China Railways seventh Group Limited (CRSG ) kuhakikisha anaijenga barabara ya Nyamwage -Utete yenye urefu wa Km 33.7 kulingana na…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KAMPUNI ya kutengeneza magari ya Volkswagen ya Ujerumani imeonesha nia ya kuitumia Bandari ya Dar es Salaam kusafirisha magari na vipuri baada ya kuitembelea…