Wenyeviti wa mitaa waridhishwa na uwekezaji sekta ya maji Temeke
Wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Wilaya ya Temeke wamepongeza na kuridhishwa na uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali kwa Wizara ya Maji kupitia Mamlaka ya majisafi na Usafi wa Mazingira…