Kapinga atangaza fursa za uwekezaji nishati Saudi Arabia
Na Mwandishi Wetu, Saudi Arabia Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Kongamano la Wafanyabiashara na Wawekezaji nchini Saudi Arabia litaongeza uwekezaji kwenye Sekta ya Nishati kutokana na Tanzania kuzinadi fursa…