Samia aagiza polisi kukomesha matukio ya watu kupotea
Rais Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Polisi kuendelea na jitihada kukomesha matukio ya uhalifu ikiwemo watu kupotea yanayoripotiwa sehemu mbalimbali nchini. Amesema kuwa Serikali itaendelea kuliimarisha Jeshi la Polisi…
