Dkt. Ndumbaro azitaka Bodi za Wadhamini zising’ang’anie madaraka
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Waziri wa Katiba na Sheria Dk Damas Ndumbaro ameziagiza Bodi mbalimbali za Wadhamini wa taasisi ambazo zimemaliza muda wake wa uongozi kufanya uchaguzi mara moja…
