Silaa: Tutaimarisha uchumi wa kidijitali kukuza biashara mtandao
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa amesema kupitia mfumo wa usafirishaji wa vifurushi, mizigo, na abiria Serikali itaimarisha uchumi wa kidijitali, kukuza baishara mtandao na kuleta…
