Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article Sultani wa mwisho wa Zanzibar afariki dunia

Sultani wa mwisho wa Zanzibar afariki dunia

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 31, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Jamshid bin Abdullah, Sultani wa mwisho kuitawala Zanzibar na aliyeondolewa madarakani kwa mapinduzi ya tarehe 12 Januari mwaka 1964 amefariki dunia. Jamshid amefariki dunia katika hospitalini iliyopo nchini Oman jioni…

Continue ReadingSultani wa mwisho wa Zanzibar afariki dunia
Read more about the article NMB yadhamini kombe la Mapinduzi 2025, siku ya mazoezi kitaifa Z’bar

NMB yadhamini kombe la Mapinduzi 2025, siku ya mazoezi kitaifa Z’bar

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 31, 2024
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani
  • Post comments:0 Comments

BENKI ya NMB, imetangaza udhamini wa Sh. Milioni 50 wa michuano ya Kombe la Mapinduzi ya Zanzibar (Mapinduzi Cup 2025), inayotarajia kuanza Januari 03, 2025 kwenye Uwanja wa Gombani visiwani…

Continue ReadingNMB yadhamini kombe la Mapinduzi 2025, siku ya mazoezi kitaifa Z’bar
Read more about the article IPTL kwafukuta, Mwanahisa ataka alipwe bil. 68.1

IPTL kwafukuta, Mwanahisa ataka alipwe bil. 68.1

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 29, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAKATI hali ya ukimya ikiendelea kutanda katika kashfa maarufu ya Tegeta Escrow, kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imeingia katika…

Continue ReadingIPTL kwafukuta, Mwanahisa ataka alipwe bil. 68.1
Read more about the article 124 wafariki kwa ajali ya ndege Korea

124 wafariki kwa ajali ya ndege Korea

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 29, 2024
  • Post category:Usafiri wa Anga
  • Post comments:0 Comments

Ndege iliyokuwa imebeba abiria 181 imeanguka katika uwanja wa ndege kusini magharibi mwa Korea Kusini. Ajali hiyo ilitokea saa sita usiku wa kuamkia leo Jumapili muda mfupi wakati ilipokuwa ikitua…

Continue Reading124 wafariki kwa ajali ya ndege Korea
Read more about the article Mil. 76/- kati ya Mil. 300/- za NMB MastaBata zaenda kwa wateja 712

Mil. 76/- kati ya Mil. 300/- za NMB MastaBata zaenda kwa wateja 712

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 28, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

NA MWANDISHI WETU WATEJA zaidi ya 700 kati ya 2000 wa msimu wa sita wa promosheni ya kuhamasisha malipo na manunuzi kwa njia ya kadi inayoendeshwa na Benki ya NMB…

Continue ReadingMil. 76/- kati ya Mil. 300/- za NMB MastaBata zaenda kwa wateja 712
Read more about the article 38 wafariki ajali ya ndege, 29 wanusurika

38 wafariki ajali ya ndege, 29 wanusurika

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 26, 2024
  • Post category:Usafiri wa Anga
  • Post comments:0 Comments

Mamlaka ya Anga nchini Kazakhstan imesema watu 38 wamefariki dunia katika ajali ya ndege ya abiria ya kampuni ya Azerbaijan Airlines magharibi mwa nchi hiyo jana Jumatano. Maafisa wa Wizara…

Continue Reading38 wafariki ajali ya ndege, 29 wanusurika
Read more about the article Tusherehekee Krismasi na Mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati

Tusherehekee Krismasi na Mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 25, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Katika kusherehekea SIkukuu za Krismasi na Mwaka Mpya 2025, Watanzania hatuna budi kujivunia safari ya mafanikio katika Sekta ya Nishati, hususan umeme. Je Unajua kabla ya kupata Uhuru mwaka 1961…

Continue ReadingTusherehekee Krismasi na Mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
Read more about the article NBC Bank Unveils TZS 27.2 Billion Bond to Empower Tanzania’s SME Sector

NBC Bank Unveils TZS 27.2 Billion Bond to Empower Tanzania’s SME Sector

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 24, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

By Staff Reporter The National Bank of Commerce (NBC) has officially launched Series 1 of its second tranche of the NBC Twiga bond, valued at TZS 27.2 billion, marking a…

Continue ReadingNBC Bank Unveils TZS 27.2 Billion Bond to Empower Tanzania’s SME Sector
Read more about the article Dk. Mwasse: Stamico imeleta mapinduzi ya nishati ya kupikia kupitia Rafiki Briquette

Dk. Mwasse: Stamico imeleta mapinduzi ya nishati ya kupikia kupitia Rafiki Briquette

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 24, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Dk. Venance Mwasse amesema nishati safi ya kupikia ya Rafiki Briquettes ni mkombozi katika mapambano dhidi ya nishati chafu na kwamba…

Continue ReadingDk. Mwasse: Stamico imeleta mapinduzi ya nishati ya kupikia kupitia Rafiki Briquette
Read more about the article Waziri Chana amuapisha Kamishna Ngorongoro, ampa maagizo mazito

Waziri Chana amuapisha Kamishna Ngorongoro, ampa maagizo mazito

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 23, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Arusha Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Chana amemuapisha na kumvisha cheo cha kijeshi Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, CC Dk.…

Continue ReadingWaziri Chana amuapisha Kamishna Ngorongoro, ampa maagizo mazito
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 86
  • 87
  • 88
  • 89
  • 90
  • 91
  • 92
  • …
  • 111
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu