Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article Vijana watakiwa kuchangamkia fursa sekta ya nishati
Screenshot

Vijana watakiwa kuchangamkia fursa sekta ya nishati

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 24, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Vijana wametakiwa kuchangamkia fursa zinazopatikana katika sekta ya nishati hapa nchini kwa kuwa sekta hiyo ina wigo mpana katika  kuzalisha ajira  kwa vijana sambamba na  kutoa mchango mkubwa katika…

Continue ReadingVijana watakiwa kuchangamkia fursa sekta ya nishati
Read more about the article Dk. Biteko: Chato msifanye makosa kuchagua vyama vingine

Dk. Biteko: Chato msifanye makosa kuchagua vyama vingine

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 24, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewahimiza wananchi wa Chato…

Continue ReadingDk. Biteko: Chato msifanye makosa kuchagua vyama vingine
Read more about the article Mitungi ya gesi ya kupikia 9,765 kusambazwa Rukwa

Mitungi ya gesi ya kupikia 9,765 kusambazwa Rukwa

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 21, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Rukwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Makongoro Nyerere amewataka Watanzania kuendelea kumuunga mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuhamasisha na kuchochea ajenda ya nishati safi ya…

Continue ReadingMitungi ya gesi ya kupikia 9,765 kusambazwa Rukwa
Read more about the article DC Bulembo aipongeza DAWASA kwa kutekeleza agizo la Majaliwa

DC Bulembo aipongeza DAWASA kwa kutekeleza agizo la Majaliwa

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 20, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Halima Bulembo ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kutekeleza kwa wakati agizo la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa la…

Continue ReadingDC Bulembo aipongeza DAWASA kwa kutekeleza agizo la Majaliwa
Read more about the article Rais Samia amwaga milioni 700 kwa wachezaji Taifa stars

Rais Samia amwaga milioni 700 kwa wachezaji Taifa stars

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 19, 2024
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani
  • Post comments:0 Comments

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa zawadi ya Sh Milioni 700 kwa timu ya Taifa (Taifa Stars), kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya…

Continue ReadingRais Samia amwaga milioni 700 kwa wachezaji Taifa stars
Read more about the article TFS Magu yagawa miti 13,059 kwa wanafunzi Magu, Sukuma

TFS Magu yagawa miti 13,059 kwa wanafunzi Magu, Sukuma

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 19, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

HALMASHAURI ya Wilaya Magu kupitia Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) umegawa miche ya miti 13,059 kwa shule za sekondari Sukuma na msingi Magu kwa lengo kuendelea kuhamasisha upandaji miti…

Continue ReadingTFS Magu yagawa miti 13,059 kwa wanafunzi Magu, Sukuma
Read more about the article Waziri Silaa aanika mipango ya ushirikiano na wanahabari
Jerry Silaa

Waziri Silaa aanika mipango ya ushirikiano na wanahabari

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 18, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema amejipanga kuhakikisha sekta ya habari inaimarika kwa kufanya marekebisho ya sera na sheria ili kuendana na mahitaji ya kisasa.…

Continue ReadingWaziri Silaa aanika mipango ya ushirikiano na wanahabari
Read more about the article TARURA Manyara kufungua barabara mpya km. 109

TARURA Manyara kufungua barabara mpya km. 109

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 17, 2024
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Manyara Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Manyara ina mpango wa kufungua barabara mpya zenye urefu Km. 109 katika Wilaya ya Mbulu, Simanjiro…

Continue ReadingTARURA Manyara kufungua barabara mpya km. 109
Read more about the article TNBC yazindua kikundi kazi ‘Uchumi wa Buluu’

TNBC yazindua kikundi kazi ‘Uchumi wa Buluu’

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 17, 2024
  • Post category:Usafiri wa Majini
  • Post comments:0 Comments

Kikundi kazi cha Baraza la Biashara nchini (TNBC) kwa ajili ya kuangalia fursa za kiuchumi zitakazopatikana kupitia Uchumi wa Buluu kimezinduliwa jijini Dar es Salaam, huku wajumbe wa kikundi hicho…

Continue ReadingTNBC yazindua kikundi kazi ‘Uchumi wa Buluu’
Read more about the article Wabunge waridhishwa na utendaji kazi wa benki ya TCB

Wabunge waridhishwa na utendaji kazi wa benki ya TCB

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 17, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

 KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeeleza kuridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB), huku ikiielekeza benki hiyo kuendelea kutoa gawio…

Continue ReadingWabunge waridhishwa na utendaji kazi wa benki ya TCB
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 94
  • 95
  • 96
  • 97
  • 98
  • 99
  • 100
  • …
  • 111
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu